Tafakari na masudi Kipanya

Labda na serikali maana ilimwokoa alipotaka kudabuliwa na wasiojulikana
Serikali ilimwokoa wapi na wasiojulikana kwanini wamteke Kipanya mpaka aokolewe na serikali ?
 
Wabongo wengi akili zao ni ndogooo, hawana taarifa, si wafuatiliaji wa mambo ya msingi na ni wavivu wa kujisomea LAKINI wanajifanya wanajua KILA KITU.
Hahaha na kwa bahati mbaya wanasikilizwa na kuaminiwa
 
Hahaha na kwa bahati mbaya wanasikilizwa na kuaminiwa
Na bila kusahau kuishi kwa MATUMAINI koko.
They are so afraid of facing the reality.
Unakuta mbongo ana miaka 45+ anaamini siku moja mzungu kutoka Ulaya atakosea kutuma hela, atamtumia kwenye Account yake USD 20,000.
 
Mmoja anieleweshe nimetoka kapa
Hizo ni zile story za vijiweni sasa hapo wanachambua taarifa kwenye kijiwe cha kahawa.

Si unajua wabongo ni wachambuzi wa masuala kisiasa, kimichezo, hali ya hewa, usalama wa taifa, udaku n.k
 
Kwamba IFM wana ripoti ya uchumi wa Tanzania!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…