nyamalagala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 744
- 675
Huyu hakurupuki kuwasilisha fikra zake kwa wazi.anawaachia watu waamue ujumbe uliolengwa kwa kuhusianisha na hali iliyopo katika maisha.Masoud sawa na mpoto.hawakupi mlengo wao ila wanakupa mwanya wa kutafakari ujumbe ulobebwa.hakika Masoud kipanya ungeliandika kwa maneno, tungekuwa tumepiga kambi home kwako,
full combat,