Tafakari na Kipanya

Jamaa kashindwa kutumia akili kupambana na mende badala yake imetumika nguvu ambayo imepelekea kabati ambalo ni thamani sana zaidi ya mende KUVUNJWA.

"AKILI NI BORA KULIKO NGUVU" Sirikali anatumia nguvu sio Akili

well noted, Sir.
 
Sirikali hapo haitumii akili inavunja kabati kwa kumtafuta mende, mtoto anaonekana ana akili kuliko sirikali ameshangaa (Kama Gwajima) anataka kusema jambo ila baba yake anajua sirikali sio sikivu anamwambia ufyate mdomo wake(Kumbuka ila samaki mtoto anamuuliza mama yake akitaka kuishi maisha marefu afanye nini, mama yake akamjibu chunga mdomo wako)
 
Jamaa kashindwa kutumia akili kupambana na mende badala yake imetumika nguvu ambayo imepelekea kabati ambalo ni thamani sana zaidi ya mende KUVUNJWA.

"AKILI NI BORA KULIKO NGUVU" Sirikali anatumia nguvu sio Akili
Naongezea kidogo mwana wa nchi"amani iwe nanyi " Hii nchi watu wanatafuta umaarufu na sio kufanya majukumu yao kikazi, kwa mfano mbinu zilizotumika na wale wanojiita kuwa wapambanaji dhidi ya unga, a,k,a ngada ni mbinu za kizembe ambazo hazikubaliki, kwanza waliofanya vile wanatakiwa wachukuliwe Hatua za kisheria za kutorosha wahalifu" vita ni siri na baada ya kushinda vita then unaweza ukatangaza Ushindi na jinsi ulivyoshinda" amkeni hivi vita sio vya ngada a,k,a sembe hivi vita ni vita vya kutafuta umaarufu ndani ya jiji la dar na sio tanzania! Never mistake again2020
 
Masoud huwa namkubali sanaa
Na ingetokea siku ile bashite kwenda kwenye power breakfast angekoma
Maswali yake yangekuwa hivyo afadhali mbio zake zilimsaidia
 
Marope ni mtaalam wa mapicha anaweza tutafsilia kama yupo humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…