Tafakari na Kipanya

Hala hala Masoud........kidole na jicho, hizo msg kwa Mkuu sidhani kama zinafurahisha, utamfanya asipige tena simu CLOUDS sababu yako.
 
Jamaa kashindwa kutumia akili kupambana na mende badala yake imetumika nguvu ambayo imepelekea kabati ambalo ni thamani sana zaidi ya mende KUVUNJWA.

"AKILI NI BORA KULIKO NGUVU" Sirikali anatumia nguvu sio Akili
Kwenye hii sirikali ropokozi na kurupuzi ulitegemea nini???Lazima kabati livunjwe kumsaka mende!
 
MENDE ATAKUWA NI NANI
Mende kasimama hapo kama matatizo yaliyo ndani ya kabati (nchi) yaani matatizo haya ni mfano wa mende na ipo njia sahihi ya kuyatoa matatizo hayo kabatini kuliko njia aliyotumia huyo "sirikali"kumtoa mende huyo.

Hapo lazima arudi kutengeneza kabati mara baada ya kumtoa mende, je ni gharama kiasi gani zitatumika kutengeneza kabati hilo?

Hapa MENDE kasimama kama matatizo yote unayoyajua yapo kabatini.
 
Jamaa kashindwa kutumia akili kupambana na mende badala yake imetumika nguvu ambayo imepelekea kabati ambalo ni thamani sana zaidi ya mende KUVUNJWA.

"AKILI NI BORA KULIKO NGUVU" Sirikali anatumia nguvu sio Akili
halafu mende kakimbia kamwacha atafakari ninunue kabati nyingine au nitengeneze hii
 
Kwako wewe umeelewa nini mkuu?
Kwamba sirikali yetu inatumia nguvu kubwa katika mambo madogo tu, kama kuvunja kabati ili ummalize mende.
Nakumbuka Nape alisemaga ukitaka kumuua panya aliye katika chungu usikivunje, kiinamishe atatoka mwenyewe.
Lakini hivi kipanya haonagi jema
 
Kwenye hii sirikali ropokozi na kurupuzi ulitegemea nini???Lazima kabati livunjwe kumsaka mende!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sirikali "ropokozi" safi sana hili neno ni zaidi ya neno sahihi.
 
Kwako wewe umeelewa nini mkuu?
Kwamba sirikali yetu inatumia nguvu kubwa katika mambo madogo tu, kama kuvunja kabati ili ummalize mende.
Nakumbuka Nape alisemaga ukitaka kumuua panya aliye katika chungu usikivunje, kiinamishe atatoka mwenyewe.
Lakini hivi kipanya haonagi jema
 
halafu mende kakimbia kamwacha atafakari ninunue kabati nyingine au nitengeneze hii
Shauri yako utafatwa mwenyewe [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mbona mende bado yupo acha uchokozi kwa sirikali
 
Hahahaaaaaaa Kipanya bwana,siku hizi hachori lile bichwa tena.
Kahamia kwenye mafumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…