Tafakari na Kipanya

mashetani wamejaaa kibao saivi!!
 
haiwez kukutana kwasababu zifuatazo...
1..wiki ya kwanza ya mshahara anakula KUKU..
2..wiki ya pili anaanza kula product za KUKU(mayai)..
3..wiki ya tatu anaanza kula vyakula vya KUKU(mahindi,mchele,dagaa n.k)
4..wiki ya nne yeye mwenyewe ndo anakuwa KUKU yan ni mwendo wa kuzurura tu...
Kwa hali hiyo mishahara itakutana vipi????
am just kidding....
 
Inakutanaje mishahara. Kwani inatembea?
 
Mi pamoja na kulipiwa nyumba, usafiri na airtime bado haukutani
 
watanzania kama akili na ufikiri huu tungetumia kwenye kuanzisha baadhi uwekezaji aisee tungekuwa mbali mnoooo,
we are so talented
 
Hakuna nchi imemaliza madeni hivi tunavyoongea...mi nani bhana
mangi anadai
magu anataka
HESLB wanakata
TUICO nao hawako mbali
PSPF/LAPF/PPF/GEPF hawakuachiii
NMB/CRDB/ ndo kila mara wanaangalia acc yko
Mama lwakatale na shule zake amekupigia simu au kutuma email
wife ye anataka kusuka na kuvaa tu
na mengine meeeeengi kwanini mshahara ukutane na kwasababu gani
 
Ndio Mkuu, wengi wanastaafu na viwanja tu kaka!
Noma....hata gari nshauza lilikua linakaa tu natumiaga la kampuni.... Ila sijutii siku nikitumbuliwa dogo Katavi yupo ntatumia tu la kwake kwa muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…