TAFAKARI NA KIPANYA

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
TAFAKARI NA KIPANYA.jpg
 
Ila dah kuna mafunzo wanapitia kutafuna nchi au? Na mie ningependa kuyajua kwa kweli...maana ni hatareeee
 
Ukitazama kwa makini...sisi waTanzania hatuhitaji uongozi kwani hatujawahi kuona manufaa yoyote ya kuongozwa tangu uhuru....ikiwa bado tunapambana na matatizo yale yale aliyotuachia mkoloni.....
 
Nchi hii haiwezi kuendelea kamwe kwa sababu tangu uhuru tumekuwa tukiongozwa na watu walewale na akili zilezile kwa staili ileile. Sanasana kinachobadilika ni slogan tu. Kuna mmoja alikuja na "siasa ni kilimo", lakini akawaacha wakulima na jembe la mkono baada ya kutawala miaka 24, aliyefuatia nae akaja na sera ya "Ruksa". Huyu alifanikiwa kidogo kupiga U-turn kwani watanzania walianza kunufaika na utandawazi baada ya kujitenga kwa miaka kadhaa chini ya utawala wa mwalimu. Mwingine akaja na sera ya ubinafsishaji huku akijinasibu na slogan ya "uwazi na ukweli" lakini hakuwa wazi wala mkweli anyway, tulishuhudia mgodi ukiuzwa kwa gharama ya sh. Milioni 70! mwingine akaibuka na kilimo kwanza na BRN lakini hicho kilimo hakijawahi kuchochea ujenzi wa viwanda (hakuna linkages), sasa tuko kwenye "Hapa kazi tu" na Tanzania ya viwanda ambayo haijawa reflected kwenye bajeti. Ngoja tuone.
 
Kwa mujibu wa mchumi Rostow, ili nchi iendelee haina budi kupitia hatua 5 zifuatazo:
  1. Traditional society. This is an agricultural economy of mainly subsistence farming, little of which is traded. The size of the capital stock is limited and of low quality resulting in very low labour productivity and little surplus output left to sell in domestic and overseas markets
  2. Pre-conditions for take-off. Agriculture becomes more mechanised and more output is traded. Savings and investment grow although they are still a small percentage of national income (GDP). Some external funding is required - for example in the form of overseas aid or perhaps remittance incomes from migrant workers living overseas
  3. Take-off. Manufacturing industry assumes greater importance, although the number of industries remains small. Political and social institutions start to develop - external finance may still be required. Savings and investment grow, perhaps to 15% of GDP. Agriculture assumes lesser importance in relative terms although the majority of people may remain employed in the farming sector. There is often a dual economy apparent with rising productivity and wealth in manufacturing and other industries contrasted with stubbornly low productivity and real incomes in rural agriculture.
  4. Drive to maturity. Industry becomes more diverse. Growth should spread to different parts of the country as the state of technology improves - the economy moves from being dependent on factor inputs for growth towards making better use of innovation to bring about increases in real per capita incomes
  5. Age of mass consumption. Output levels grow, enabling increased consumer expenditure. There is a shift towards tertiary sector activity and the growth is sustained by the expansion of a middle class of consumers.
Sasa tujiulize Tanzania ya viwanda inakujaje ilihali bado iko kwenye stage ya kwanza yaani 'traditional society'?
 
Back
Top Bottom