Tafakari na kipanya Umeme Zanzibar

Tafakari na kipanya Umeme Zanzibar

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
719d4eada857857d0b0269646feaadfe.jpg
 
Hii ni kauli ya kichochezi kabisa...!! Unastahili kuunganishwa kwenye kesi ya Tundu Lissu kuhusu uchochezi wa Zanzibar...!!







Tafakari...!!
Hahaha mkuu hii kesi ya kifamilia ,mke kukosa matunzo kisa tu anavibishara vyake vya mandazi ukataka ajihudumie ni kosa
 
Walipe tu, hakuna namna lazima maumivu ya muungano tuyasikie wote
 
Hahaha mkuu hii kesi ya kifamilia ,mke kukosa matunzo kisa tu anavibishara vyake vya mandazi ukataka ajihudumie ni kosa
emoji1.png
emoji1.png
emoji1.png
emoji1.png




Haaaaa haaaaa haaaaaa...hii yako haina tofauti na kauli ya Lema, "Nimeoteshwa ndoto". Haaaaaa haaaaaa haaaaaa...!!






Tafakari...!!
 
Back
Top Bottom