kwani Mtukufu kaniskia?Uchochezii.![]()
Ana haki kusema hivyo...Siku zote ukiowa mwanamke ni jukumu lako kumuhudumia
Hahaha mkuu hii kesi ya kifamilia ,mke kukosa matunzo kisa tu anavibishara vyake vya mandazi ukataka ajihudumie ni kosaHii ni kauli ya kichochezi kabisa...!! Unastahili kuunganishwa kwenye kesi ya Tundu Lissu kuhusu uchochezi wa Zanzibar...!!
Tafakari...!!
Karudi???Hahahaaa karudi mbona
Hahaha mkuu hii kesi ya kifamilia ,mke kukosa matunzo kisa tu anavibishara vyake vya mandazi ukataka ajihudumie ni kosa![]()
![]()
![]()
![]()