The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,733
- 123,632
Joseverest tusubiri mitazamo ya wengine kwanza.Aisee..tathmini yako wewe ni ipi mkuu kuhusu hii picha?
Joseverest tusubiri mitazamo ya wengine kwanza.
Nimekuelewa mnoohawa ni wanafunzi wawili walianza mbio za kukimbiza maisha mmoja ni mtoto wa masikini na mwingine ni wa kitajiri, wanaanza safari pamoja(assumption wamemaliza chuo pamoja) , ila huyu wa kimasikini mbio zake za kukimbiza maisha zina mzigo nyuma yaani wazazi wake hii inaakisi yeye atachelewa kufika destination point ili hali yule wa kitajiri anaanza mbio huku wazazi wake wakimpa sapoti ili kumaliza mbio za kutafuta maisha mapema
mawazo yangu hayo mkuu
shukrani mkuuNimekuelewa mnoo
Nimekuelewa brohawa ni wanafunzi wawili walianza mbio za kukimbiza maisha mmoja ni mtoto wa masikini na mwingine ni wa kitajiri, wanaanza safari pamoja(assumption wamemaliza chuo pamoja) , ila huyu wa kimasikini mbio zake za kukimbiza maisha zina mzigo nyuma yaani wazazi wake hii inaakisi yeye atachelewa kufika destination point ili hali yule wa kitajiri anaanza mbio huku wazazi wake wakimpa sapoti ili kumaliza mbio za kutafuta maisha mapema
mawazo yangu hayo mkuu
shukrani mkuuNimekuelewa bro
Safi sana mkuuhawa ni wanafunzi wawili walianza mbio za kukimbiza maisha mmoja ni mtoto wa masikini na mwingine ni wa kitajiri, wanaanza safari pamoja(assumption wamemaliza chuo pamoja) , ila huyu wa kimasikini mbio zake za kukimbiza maisha zina mzigo nyuma yaani wazazi wake hii inaakisi yeye atachelewa kufika destination point ili hali yule wa kitajiri anaanza mbio huku wazazi wake wakimpa sapoti ili kumaliza mbio za kutafuta maisha mapema
mawazo yangu hayo mkuu
Thanks mkuu umeeleweka vema kabisa.Kutathimini hii kitu sio kitu lelemama......hapo ninaona msomi mwafrika akijaribu kutoka mbio za maendeleo huku akimvuta mzungu, bila shaka pembeni ni mzungu mshindani wake, akiwa kwenye gari ya wazungu wenzake wanampa sapoti..........nasubiri wengine waje kufanya brain storming, mpaka tutaelewa.
Ahsante!hawa ni wanafunzi wawili walianza mbio za kukimbiza maisha mmoja ni mtoto wa masikini na mwingine ni wa kitajiri, wanaanza safari pamoja(assumption wamemaliza chuo pamoja) , ila huyu wa kimasikini mbio zake za kukimbiza maisha zina mzigo nyuma yaani wazazi wake hii inaakisi yeye atachelewa kufika destination point ili hali yule wa kitajiri anaanza mbio huku wazazi wake wakimpa sapoti ili kumaliza mbio za kutafuta maisha mapema
mawazo yangu hayo mkuu
asante mkuuSafi sana mkuu