Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,133
- 2,128
Hayo ni maandamano "matakatifu".Nijuavyo mimi maandamano yamepigwa marufuku mpaka 2020!
Ndio maana wakulima wa korosho walipotaka kuandamana kusini,JPM alisema wangepata kipigo cha mbwa koko tena angeanza na shangazi wa PM!
Haya maswali hata mimi nimejiuliza usiku huu, aisee ama kweli watunzi wake wa sinema inabidi waende kozi ya sanaa kwanzaWote tunakubali kuwa maamuzi ya kikokotoo ni Mazuri kwa wastaafu wote. Lakini Kuna kitu inabidi tukitafakari kwa kina tusijekuwa tumeingizwa chaka :
1. Ni nani aliyeandaa Maandamano ya wafanyakazi jijini Mwanza? Je, ni nani aliyechapisha mabango? Ni nani aliyewakusanya sehemu moja na kwa wakati mmoja?
2. Ni nani aliyemjulisha mkuu wa Mkoa kuweka utaratibu mzuri wa kupokea Maandamano?
3. Ni nani aliyeomba kibali polisi ili wapate ulinzi wakati wa Maandamano?
Tusipokee taarifa kwa juu juu. Haya mambo yanaweza kuwa planned.
Aiseeee!Hayo ni maandamano "matakatifu".
Aisee umetisha mzee baba nakupa good critical na like za kutosha aiseeWote tunakubali kuwa maamuzi ya kikokotoo ni Mazuri kwa wastaafu wote. Lakini Kuna kitu inabidi tukitafakari kwa kina tusijekuwa tumeingizwa chaka :
1. Ni nani aliyeandaa Maandamano ya wafanyakazi jijini Mwanza? Je, ni nani aliyechapisha mabango? Ni nani aliyewakusanya sehemu moja na kwa wakati mmoja?
2. Ni nani aliyemjulisha mkuu wa Mkoa kuweka utaratibu mzuri wa kupokea Maandamano?
3. Ni nani aliyeomba kibali polisi ili wapate ulinzi wakati wa Maandamano?
Tusipokee taarifa kwa juu juu. Haya mambo yanaweza kuwa planned.
Wajanja muandamane na nyieMtaji wa CCM ni wajinga na wapumbavu.
Hayo ya kupongeza hayana cha kibali wala njia maalumu ya kupita.Wala hakuna kusema Intelegensia inaonyesha vurugu zinaweza kutokea.Hapo ndipo nltunapowadharau hawa wanaojiita usalama wa raiaWote tunakubali kuwa maamuzi ya kikokotoo ni Mazuri kwa wastaafu wote. Lakini Kuna kitu inabidi tukitafakari kwa kina tusijekuwa tumeingizwa chaka :
1. Ni nani aliyeandaa Maandamano ya wafanyakazi jijini Mwanza? Je, ni nani aliyechapisha mabango? Ni nani aliyewakusanya sehemu moja na kwa wakati mmoja?
2. Ni nani aliyemjulisha mkuu wa Mkoa kuweka utaratibu mzuri wa kupokea Maandamano?
3. Ni nani aliyeomba kibali polisi ili wapate ulinzi wakati wa Maandamano?
Tusipokee taarifa kwa juu juu. Haya mambo yanaweza kuwa planned.
kama Mramba wa tanescoJiwe kajicha kitumbua , then kakifichua, kafara kwa mkurugenzi, pole dada
Hawa watu utawajua kwa kubadilika kama kinyonga kwanza walimlaumu leo wamebadilika tena futi mia kwakweli ukitaka kumchukia magufuli ingia jamiiforum.Wajanja muandamane na nyie
Kweli kabisa, sababu jamiiforum kuna akili kubwa zinazo tafakari mambo....Ila Lumumba kazi yenu kusifu tuHawa watu utawajua kwa kubadilika kama kinyonga kwanza walimlaumu leo wamebadilika tena futi mia kwakweli ukitaka kumchukia magufuli ingia jamiiforum.
Sent using Jamii Forums mobile app