Tafakari kwa umakini picha hii..

Hawana Habari na kinachoendelea.
Aliyezuia Bunge live alituweza na amewapa uhuru wa kucheza na kodi zetu.

Kodi gani we unalipa. Pili. Walizuia wenyewe. Kwa maamuzi yao. Lakini La msingi wanasiasa wako hivyo Leo na daima. Lakini nyie mkimpata mtu Wa kazi hana siasa. Bado mnarudi kule kule. Wanafiki. Do not TRUST WTZ wa MITANDAONI. VIGEUGEU. VINYONGA NA MUCH KNOW. watu wana namna hii maishani ni wapole. Wajinga. Wanachezewa sana na wake na wanaume zao. Sio waongeaji.
 
Na hivyo jinsi wanavyofanya. Hutoona wameonyesha kwenye taarifa ya habari.
Wanachagua maeneo ya kuturidhisha sisi mabwege kwamba kauli ya hapa kazi tu bungeni inafanya kazi. Kumbe wanasinzia mda wote ma
 
Wengine wanapiga umbea wengine wanapigana picha..wakitoka hapo posho ya kutosha wananchi wanateketea
 
Ndomana nilighaili kupiga kura. Nazani nipo sahihi bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…