Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,980
Ok sawa.Wengi wanatumia wakiwa free nyumbani au ofisini
Jamii forum ni zaidi kuhusu news na facebook instagram ni km burudani zaidi
Hongera kiongozi mpo wachache sana wa ivoMimi natumia hapa kwenye mwendokasi naingia mjini ferry and i don"t care who see it
daah hongera aiseeMimi mboni natumia free na wengi wanajua natumia JF ingawa ID yangu hawaijui natumia ID ipi maana hio ni privacy yangu, hippopotamus pita mbali
Hippopotamus pita mbali na Mimidaah hongera aisee
unakimbizwa na hippo au ndonani uyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna muda nilikua naichukulia JF poa tu, kuna sehemu flani kama kijiwe huwa nakaa mara kwa mara, nilikuwa natumia JF wazi wazi nikiwa hapo
Kuna siku tunapiga stori tukaanza kutaniana nikashangaa nachekwa eti natumia JF
Tokea siku hiyo, JF naitumia nikiwa mwenyewe
NdioKwamba hatuonekani na hatushikiki