oooh sikuwa nimeona hilo neno MWALIMU..kumbe gfsonwin ni mwalimu!??
Ila siku hizi watoto hawaendi tena TUITION zinaitwa TUISHIENI...
Na wewe mtotowamjini unafanyaga nini after work...
Ooooh nimikuelewa!
Dah nimechelewa kulifahamu hili mwalimu wangu...nina dogo langu linapiga PCM aisee ila ndo yuko form six sasa...
kaazi kweeeeeeeli kwelii here its where you belongs friend zile zilikuwa mbwembwe tu kwa Yesu hakuna mbwembwe wewe.rember sometimes you ill be marked/unmarked by your own wordsJe kama una bar yako....!!
Ukitoka kazini unaenda kunywa/kununua bia kwenye bar yako...!!!
Hapo ntakuwa tajiri sana eeeeeh....?
kaazi kweeeeeeeli kwelii here its where you belongs friend zile zilikuwa mbwembwe tu kwa Yesu hakuna mbwembwe wewe.rember sometimes you ill be marked/unmarked by your own words
Hahahhahaha unanifuata futa utafikiri mimi mmeo au wewe mke wangu.....!!!
Unachokitafuta utakipata.....!!
Huta kaa unitambue nilivyo daima....!!!
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Mhh kina nani hao kwa mfano??!
Me nataka kuwa fogo kupita bakhressa! Naombeni maushauri jamani. What should i do and what shouldn't do please.