Tafakari chukua hatua.

[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio maana nimemsifia maana hadi wewe kakupa like eti!!
Sasa mimi si kawaida...nimeshangaa kwako pumba unazoandika bado unapewa.

Mwifwa heshimu likes mkuu.
 
Yaani kileleni kabisa.
Hahaha yeah yeh money speaks,.au sio???
Ukiwa na 1000 ni pesa yako.

Ukiwa na laki 500000 ni pesa hako.

Ila unapokuwa na milioni mia, mitano...sio pesa yako.

Ila jamii imekuamini unaweza kuishikia pesa na kuitumia kwa ufasaha zaidi kuinufaisha...

Iheshimu pesa...chukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…