Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
kwa uhakika ni kupima DNA kujiridhisha kama watoto wako ama la! Majibu ndo yataleta majibu ya kipi kifanyike.
Safi hii . . . . . . . . .!!!!
kwa uhakika ni kupima DNA kujiridhisha kama watoto wako ama la! Majibu ndo yataleta majibu ya kipi kifanyike.
ah jee kama mambo yaliharibika baada ya kupata hao watoto?
hapo wala hamna shida ya papara...unaenda kuwalima tuu wale watoto. na kama sio wako basi hapo unaenda mwambia mama kuwa kumwite baba wa hao watoto uende nao....ukitaka baki hapa basi ujhue nakukula tigo daily
Safi hii . . . . . . . . .!!!!
basi we ni muuaji.. Passion Lady
Ntamwuliza mke wangu vizuri nikiwa na panga pembeni, ntakachotaka ni kuambiwa ukweli kwanza then nikiupata ukweli namwambia its time for you to depart from me kuanzia sasa, aende amfuate huyo baba wa ukweli wa hao watoto. Finish
akikwambia tigo ndo anapenda mno....
maamuz negative hayo..
maamuz magumu hayo,. Lyagwa
Sasa utafanyaje mkuu, wewe umeambiwa huna uwezo wa kuzalisha, usipomfunga uzazi anaweza kukuletea tena mtoto mwingine kwa kisingizio kwamba huenda ni wewe ndio mhusika maana mapenzi si mnafanya kawaida ili hali wewe umegundua kuna tatizo.
Kuwakana watoto kuwa sio wako ili hali watoto wenyewe na jamii kwa ujumla na huenda hata mama watoto wanajua kuwa ni wako sio kazi rahisi hata kidogo.
Nami nimesema ni ngumu sana kumeza, lakini ukiamua inawezekana, na haya mambo yapo sana wapo wazazi wengi ambao wana wana watoto ambao sio wao na wao wanajua kuwa sio watoto wao.
....................................
Unatoka pale hospitali na kuingia kwenye gari lako huku ukishukuru kua umekwepa msala..
Likini ghafla ukiwa njiani unakumbuka una mke na watoto wawili.?UTAFANYAJE/UTAMFANYAJE MKEO..
habari ya mjini