msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,840
- 6,148
Upo njiani na gari lako Ukiwa umetoka mahakamani kushuhudia hukumu ya rafiki yako ambaye amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kesi ya kumpa mimba mwanafunzi huku akiwa amesingizia kwani sio yeye aliyehusika na hiyo mimba..
Bado upo njiani kimvua kinanyesha mara unamuona mwanafunzi njiani,na kwa huruma yako unampa lifti,mkiwa njiani ghafla anazimia,unaamua kumkimbiza hospitali,kufika kule binti anahudumiwa anazinduka..
Anakupa namba za ndugu zake uwapgie waje..
Ndugu wanafika na dokta anawaita awape majibu kwanini binti yule amezimia..
Dokta anawapa majibu kua binti ana mimba,kwa ukali ndugu zake wanamuhoji mimba ya nani anasema yakwako,wakati hata haumjui ni mara ya kwanza kuonana,na ulimpa lifti kwa kumuepusha tu na mvua..
Kwa hasira unabisha na kusema "hapana,Mimba sio yangu,ndo leo namuona,simjui huyu"..
Dokta anaona amalize ubishi anawaambia kuna Technology mpya imeingia ambayo inawezekana kupima mtoto aliye tumboni na kizazi cha mwanaume na ili kugundua kua kweli mtoto ni wake au sio..
Dokta analeta majibu kua Mtoto sio wako na anakwambia "Hata hivo una matatzo ya kizazi AMBAYO UMEZALIWA NAYO hivo milele hauwezi kuzalisha"..
Unatoka pale hospitali na kuingia kwenye gari lako huku ukishukuru kua umekwepa msala..
Likini ghafla ukiwa njiani unakumbuka una mke na watoto wawili.?UTAFANYAJE/UTAMFANYAJE MKEO..
habari ya mjini

Last edited by a moderator: