Tafadhari pitia; Msaada kutatua jambo hili

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,306
Haya ni matokeo ya mdogo wangu kidato cha nne

Division 4 ya 26

CIV - 'D' HIST
- 'C' GEO -
'D' KISW -
'C' ENGL -
'C' LIT ENG
- 'D' BIO - 'F'

anapenda kusoma ualimu, hasa vyuo vya serikali je, anaweza kuchaguliwa na kama haiwezdkani afanye nini kupata nafasi vyuo vingine?
 
inawezekana akachaguliwa
ila kuna uhakika mdogo sana miaka 2015 kushuka chini tulikuwa unakwenda chuo unaongea na mkuu akikubali unamwachia ya maji unapata nafasi.sikuhizi sijui taratibu zikoje
 
ok mkuu ngoja tusubiri wanaojua zaidi
 
Mkuu sijui kama itawezekana Ualimu. Sasa hivi,wanataka wale waliofaulu yaan wenye Division 1,2 & 3 ndo waende vyuo vya ualimu.
Kuhusu vyuo vingine katika kozi tofauti atapata vingi tu! Aende TIA,IFM,CBE,na vyuo vingine vingi
 
Katka ili ndo hapo anapata utatat, hii tafsiri ya Division 1,2 na 3 ni kwa vyuo vya serikali tu au hata vya private??
 
Mkuu,vyuo vya serikali nakuhakikishia usiwe na matumaini nayo. Kuhusu vyuo vya binafsi,sina uhakika pia kwa sababu sasa hivi wanadahiliwa kwa mfumo wa pamoja, Yaani CAS. Lakini uhuni ni mwingi hapa mjini! Vyuo vya binafsi vinaweza vikafanya manuva akasoma bila Shaka. Kama ana nia ya dhati ya kuwa mwalimu,basi akasomee ualimu wa English Mediums ambao serikali haihusiki katika hilo
 
umesema vzr mkuu, ngoja nitampa ilo wazo
 
Back
Top Bottom