Ukipata namm nishtue
yaani wewe usubirie mwenzio atafute wewe upate kwa mgongo wake?? jilipue na wewe lol!Ukipata namm nishtue
Nikushtue ili iweje ndugu yangu JIPU?
Lakini bado sijapata!
ndugu yangu BUA ninataka nikufanyie umafia napretend wewe ni mdogo wangu, tunaundugu hata kama ni wa kuunga kisha naongea na mshkaji akupe kazi ofcn kwake ila ni pm majina yakoa ya ukweli na details ike unaisha wapi na form four ulipata nn na toka umalize umekuwa ukifanya nn na pia ntumie cv yako sawa??

wakuu bado sijapata kazi!
Kaka, hebu kuwa mstahimilivu. Thread umeandika wiki iliyopita, dada gfsonwin ameahidi kujaribu kukusaidia. Kazi sio za kuokota kirahisi kama enzi za nyerere. Na huu ni msimu wa sikukuu. Usipokuwa mstaarabu hautasaidiwa. Na inaweza kuchukua hata miezi 6 hadi afanikiwe kukusaidia. Endelea kuomba Mungu utatoka tu, na umuombee gfsonwin apate kibali huko kwa wenye ofisi zao.
wakuu bado sijapata kazi!
vipi uko tayari kujiajiri nikupe mchongo?
Niko Tayari Hata Sasa Mkuu Wangu, Ila Namna Ya Kuupata Huo Mtaji Wa Kuweza Kunitoa Hapa Nilipo, Ndio Tatizo!
Nipe Nipe Mchongo Mkuu Wangu Mimi Mwenyewe Mzee Wa Kazi, Utashangaa Na Roho Yako!
Umri Unaniacha Mkuu!
akush2e nani jipu weweee,angaika na ww pia.
hujui kufanikiwa kwako ndo kukomboa wengne