tafadhari msaada

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,097
920
jamani memberz naomba kuuliza eti ni kweli wanawake waliofanyiwa female genital multilation yani waliokeketw?,huwa hawapati hamu yakuwa na mwanaume?,kuna rafki yangu anamschana lakn kafanyiwa,
 
Na ndio haswaaaa nia na madhumuni ya hiyo FGM! Hufanywa hivyo ili kumfanya mwanamke asiwe na hamu ya kufanya mapenzi.. Si kwamba huwa hawana hamu kabisa ila ni kwamba mwanaume inabidi afanye kazi ya ziada ili kumfikisha mwanamke wa aina hii.. Hii FGM ni kuwakosesha wanawake haki zao za kufurahia tendo la ndoa.
 
so kama rafiki ako ana msichana kafanyiwa??
Unataka wee ndo umsikilie hamu?
 
Back
Top Bottom