Tafadhari Hii Picha inakupa Mtazamo Gani...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhari Hii Picha inakupa Mtazamo Gani...?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Boniface Evarist, Aug 8, 2012.

 1. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Listen my friend,Never ignore someone who cares for you because someday you'll realize you've lost a diamond while you were busy collecting stones.
  [​IMG]
  watoto.jpg
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Huyo dogo wa kiume anaonekana expert, Jamii ya Bishanga!
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Doga anaimbisha dem swaga za malovedove
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Dogo kichwa tazama alivyo mshika mkono then mkono wake wakulia ndiyo una ujumbe wote!!
   
 5. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  si tu Bishanga kuna dada anaitwa Erotica na Kaunga sasa wa kiume sijui ndo Boflo hata sijui kwa kweli!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jaman sidhani kama ndo hivyo watoto hawa as malaika vile!
   
 7. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 8. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wanaonekana very innocent, its just childish friendship. yaani hao mmoja akichokozwa lazima mwenzie amtetee hata kwa kurusha mawe,
   
 9. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sure positive thinking on kids... umewatendaea haki kwa mtazamo wako Little Angel
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Duh..!!! Nimemkubali dogo picha inajieleza,hapo inaonesha walikuwa wamesimama sehemu bidada akaokota vijiti weeee mpaka kilipoeleweka sasa dogo anamsindikiza kwao na ,kilichobaki ni kifuatacho ITV..
   
 11. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  thx Paxman
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Mkuu hilo naomba uliondoe watoto walikuwa zamani tulipokuwa tukiamini kuwa mtoto hawezisema uongo lakini sasa hivi kuna watoto wanafundishwa na hata mahakamani wanatoa ushahidi wa uongo,ukija kwenye suala la kuchafua kitoweo ndio wamefuzu..........
   
 13. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ooh noo!
   
 14. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  He cares
   
 15. k

  kitero JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni upendo wa agape kwa hawa malaika
   
 16. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jamani mie naona unawakandamiza toto dogo hizi! hazijui hata kitu about love
   
 17. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sure I see it!
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  We kataa tu lakini ndio ukweli wenyewe huu watoto wa siku hizi hawaaminiki,kumbuka tu wakati wetu siku umekosea mama yako anakuuliza unakiri na kuomba msamaha hata ukiadhibiwa unajua kosa lako,lakini hawa wa siku hizi unamuuliza we Juma umedokoa sukari leo anakuambia mama mi wala sijadokoa na ukimtazama mdomo wate umetapakaa chembechembe za sukari,siwalaumu lakini hapa najaribu tu kuwakumbusha wazazi wasiwaamini sana watoto na kuna tabia zinapojitokeza inabidi mtoto atazamwe kwa ukaribu...
   
 19. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  yeah a so called natural love!
   
 20. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Its a fact kuwaamini watoto wanapoanza hivi kwa kizazi cha leo yaweza pelekea shida nakubaliana nawe japo muda mwingine sivyo ni upendo wa kirafiki usiowaza dhambi na hawaijui dhambi kabisa!
   
Loading...