Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
We kataa tu lakini ndio ukweli wenyewe huu watoto wa siku hizi hawaaminiki,kumbuka tu wakati wetu siku umekosea mama yako anakuuliza unakiri na kuomba msamaha hata ukiadhibiwa unajua kosa lako,lakini hawa wa siku hizi unamuuliza we Juma umedokoa sukari leo anakuambia mama mi wala sijadokoa na ukimtazama mdomo wate umetapakaa chembechembe za sukari,siwalaumu lakini hapa najaribu tu kuwakumbusha wazazi wasiwaamini sana watoto na kuna tabia zinapojitokeza inabidi mtoto atazamwe kwa ukaribu...
unachosema ni sahihi kabisa. wazazi inabidi kuwa makini sana na hawa watoto wa dot com, wanajua mengi kuliko kawaida. kuna kamoja hapaa home kana kama 21/2 years, kanajua mambo mengi kanaweza kakaongea mpaka unbaki kuduwaa. tuna wakati mgumu sana kuwaweka hawa watoto katika mstari ulioonyooka.