lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,208
Nadhani ungekaa naye akuambie shemeji yako hasa ni yupi ili mwingine akitokea kafumaniwa sema ukweli mbele yao. Acha uoga mwanaume mpe ukweli au unahofia kukosa hivyo viofa vya bia na nyama choma unapewa?
Chezea bia wewe, gharama yake inazidi kodi ya nyumba.