we ni mvulana au mwanaume???
utakua made in Mara wewe
mbona kama sijaamini kuwa wewe ni Tarime One ? ? Hivi siku hizi na nyie wanaume wa Tarime hamuoi ila mnaoana na wake zenu kama wazaramo, uumbea wa kike kabisa huo,, USITUDHRIRISHE
mpz wako kakuta nywele za kike kitandani kwako anakuuliza unanisingizia kwamba mimi ndio nilikua hapo na mwanamke kweli!!!.:what::what::what:na mbaya zaidi kayafikisha kwa mke wangu,tayari nina mgogoro hapa kwangu.

Hoja yangu iko hapo sio huyo rafiki yako, kwa mtazamo wangu na vile nijuavyo culture ya kikurya hapo hujaoa ila bali mmeoana na mke wako,, unamhofia akijua atafanya kitu kwako.
Nadhani ungekaa naye akuambie shemeji yako hasa ni yupi ili mwingine akitokea kafumaniwa sema ukweli mbele yao. Acha uoga mwanaume mpe ukweli au unahofia kukosa hivyo viofa vya bia na nyama choma unapewa?

Delivered......ukimind poa but massage delivery.