Ni kweli kwamba wanaume tuna tamaa,ni kweli kwamba
tuta tumia kila ujanja ili tuwapate haraka iwezekanavyo.
Lakini si kweli kwamba ukinikubali haraka basi nitachukulia kwamba ndo
ume nipenda saaaaana. Ina maana tofauti sana.
Huyu mtu alikua kwenye radar ya jamaa (alikua haja mtamkia wala kuchat nae).
Siku alipo anza kuchat nae,kesho yake walikutana na jamaa akaonja.
So sad,hata kama ulikua wa thamani na una jiheshimu,kuachia chup** mapema
kuna kufanya uonekane mtu wa aina nyingine kabisa.
Please,usije kuni kubali haraka,nisumbue sumbue sana tu.
hao tunawaita maharage ya mbeyaNi kweli kwamba wanaume tuna tamaa,ni kweli kwamba
tuta tumia kila ujanja ili tuwapate haraka iwezekanavyo.
Lakini si kweli kwamba ukinikubali haraka basi nitachukulia kwamba ndo
ume nipenda saaaaana. Ina maana tofauti sana.
Huyu mtu alikua kwenye radar ya jamaa (alikua haja mtamkia wala kuchat nae).
Siku alipo anza kuchat nae,kesho yake walikutana na jamaa akaonja.
So sad,hata kama ulikua wa thamani na una jiheshimu,kuachia chup** mapema
kuna kufanya uonekane mtu wa aina nyingine kabisa.
Please,usije kuni kubali haraka,nisumbue sumbue sana tu.
wee unatania....no nation has ever benefited from prolonged warfare....kitu inatakiwa iwe faster faster....ladiez do give up easily and we will like u more
Kama anakupa fasta fasta kwanini usihisi ni mgawaji wa "fasta fasta" kwa kila mtu?

Kwani akichelewa kwanini usihisi anazuga tu lakini kila anekomaa anampa tu? Au kwa nini asikuhisi wewe unatongoza kila mwanamke anekuvutia? Sioni umuhimu wowote wa mwanamke kumzungusha mtu, mwanaume anaemuona mwanamke ni malaya kisa kampa on time ana kasoro huyo.
Ni kweli kwamba wanaume tuna tamaa,ni kweli kwamba
tuta tumia kila ujanja ili tuwapate haraka iwezekanavyo.
Lakini si kweli kwamba ukinikubali haraka basi nitachukulia kwamba ndo
ume nipenda saaaaana. Ina maana tofauti sana.
Huyu mtu alikua kwenye radar ya jamaa (alikua haja mtamkia wala kuchat nae).
Siku alipo anza kuchat nae,kesho yake walikutana na jamaa akaonja.
So sad,hata kama ulikua wa thamani na una jiheshimu,kuachia chup** mapema
kuna kufanya uonekane mtu wa aina nyingine kabisa.
Please,usije kuni kubali haraka,nisumbue sumbue sana tu.
Wanaume sisi hatuna jema ukisumbuliwa sana utasema kwani upo peke yako ukipewa haraka haraka ili usiende kwengine unaleta uzi hapa.
Mkuu huwezi kujua huyo dada amekuwa akikupigia hesabu kwa muda gani, pengine amesikia wapo wengi wanakufuatilia ndio maana akaona akuwahi yeye ili akumiliki kabisa.
hivi kama nyote ni watu wazima si kila mmoja anajua nini anataka?
anyway, am too old for mapenzi ya kusumbuana ovyo, mie mtu mzima kila mtu yupo free tu, hata nikiwa na hamu namwambia tu na yeye pia tunaenda zetu kula raha. hayo mambo ya kusumbuana ni yenu wadogo zangu.

Aaaah wapi,kama sio mgawaji uta muona tu aisee.
Haiwezekani siku hiyo hiyo una mvua kyupi afu ukasema
"huyu anafaa kua mke",...labda kama unakunywa maji kila siku kwenye
mitungi tofauti sawa. Ila kama unategemea mtu kama huyo awe mke wako,jiandae kulea
watoto wa wanaume wenzio.
i'm single bway...tukikutana tunamalizana leoleo tu....
Kesho nataka nimpeleke nyumbani, nasema kesho mininataka nimpeleke nyumbani...Aiseee,kesho tena kwingine?