Tafadhali zingatia haya.. Katika simu yako! (Android)

maedson

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
151
Reaction score
86
Usi install anti-virus

Usifute application ambayo huijui na hujainstall mwenyewe (umeikuta ktk simu)

Hakikisha kabla ya kuitumia una update au kuweka Email na iwe valid!

Usidownload application ktk websites ambazo huzielewi.. Mara nyingi tumia play store..

Hakikisha una synchronize, application zote na email account pamoja na play store..

Hakikisha simu yako ina external memory hata kama simu ina memory kubwa, na si lazima upate external memory (removable memory kubwa)

Downloads zote zihifadhi katika removable memory (memory card), na si internal memory

Tafuta reliable websites kwa ajili ya kudownload vitu like pictures, movies and music.. Na si kila website inafaa!

Mp3 (www.freemp3.us.com)_this is trusted for mp3
Au
Mp3Fil.to - Free mp3 downloads

Videos zote

clip.dj - convert videos to mp3, mp4, 3gp
Na kadharika

Feel free to ask me anything in mobiles na computer I can help.. Or use this
Maedson Mahonge-facebook
0716521262 call, text.. I don't care

N;B.. Usinipigie usiku ntakuwa nimelala..

Pata elimu ya bureee

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
Sijaelewa ishu ya anti virus sababu kuna simu zinakuja na anti virus preinstalled (angalia hapa:[ http://www.droid-life.com/2013/11/0...irus-software-preinstalled-on-android-phones/ ].hili la external drive sijaona mantiki pia.. Nadhani Pia unazungumzia haswa simu za android manake unatumia neno playstore ambapo kwa simu za iphone Yao ni applestore.. Embu weka vizuri ulichotaka kusema

Alright, ni hivi...

Kuwepo kwa antivirus katika simu, tena ambazo zimekuja na anti virus.. Si tija sana, mantiki ni kuwa hiyo anti virus inafanya kazi kama inavyotakiwa? Na je, inakuwa ni pro active au ni active?

Mara nyingi antivirus zinapokuwa designed katika simu huwa zinakuja na applications flan flan ambazo zinaongeza uzito ktk simu na ndio maana, unapotumia simu kwa muda flani inakuwa fast(nyepesi kurun) lakini baadae pamoja na kwamba ina anti virus lakini bado inashindwa ku ondoa virus wanaoingia kwakuwa virus wengi wanakuwa ni auto run (temp.bin, trojan n.k)

Ili kudhibiti virus waliopo ni njia nyingine unabidi u apply.. Next time nitaielezea..
***** ****** *****

Nimeelezea kuhusu external memory (removable memory)
Vitu vingi katika system (application software + system software) iwe ni simu au computer, huwa inaingiza temporal files.. Ambazo zinaingia bila wewe kutaka na bila kujua...

Unapoaweka download katika internal storage unaruhusu (temp. Files) ziingine ktk simu, hivyo system inakuwa nzito.. Na ndio maana kwa kadri matumizi ya simu yanavyoendelea ndinyo spidi nayo inapungua katika simu

External memory inasaidia kutunza system log.file ziingie nje badala ya kuhifandiwa ndani ya simu!
**** ***** ****
I thought nilikuwa specific kwenye heading yangu kuwa for (android) only, japo hata kwenye blackberry sanyingine unaweza ku apply baadhi ya trick,

Kuhusu Apple, Iphone, ipad na nyingine kutoka mac zinakuwa na utaratibu wake,, other time nitaeleza kuhusu blackberry na apple type..

Asanteni sana na naamini mmenielewa!!

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
Simu kama s6 internal memory yake ina speed hadi zaidi ya mb 200 kwa sekunde, wakati memory zilizojaa mjini ni class 4 (4MBps)

Inamaana unaweza ukaeka memory card ikawa mara 25 ipo slow kuliko memory yako ya simu,

Even ukitafuta class 10 still memory card zipo slow kuliko internal memory na ni moja ya sababu kubwa inayofanya simu zetu ziwe slow, usione manufacture wanaondoa sehemu za sd card ni wajinga.
 
somo zuri hili ngoja nisikilizie for more updates
 
@ Chief-Mkwawa one day ulisema kuwa ni bora kutumia simu yako bila memory card (sd card) ukasema kama simu ina uwezo mkubwa/ size kubwa.. No need of sd card....
Nina s4 yangu haina sd card ni miezi kadhaa saaa lakini na enjoy bila ss card na sina tatizo lolote... Niliona ushauri wako unanifaaa... Na sikuona sababu ya kutafuta sd card....
Nina video zaidi ya 200 za music kwenye simu yangu, hapo acha mp3 na apps.. Bt my phone is normally and haina shida, wala kuwa slow...
 
Simu kama s6 internal memory yake ina speed hadi zaidi ya mb 200 kwa sekunde, wakati memory zilizojaa mjini ni class 4 (4MBps)

Inamaana unaweza ukaeka memory card ikawa mara 25 ipo slow kuliko memory yako ya simu,

Even ukitafuta class 10 still memory card zipo slow kuliko internal memory na ni moja ya sababu kubwa inayofanya simu zetu ziwe slow, usione manufacture wanaondoa sehemu za sd card ni wajinga.

Nope, manufacturers hawawezi kuwa wajinga na wakani wametengeneza wao hizo simu!

Look, kuwa na speed ktk simu hata ikiwa na internal memory pekee bila kuwa na external memory inatakiwa uweke vitu (applications, personal data) katika mpangilio na mahali vinapostahili kuwepo (partition).

Downloaded videos for example, mp3 and applications lazima ziwe katika sehemu tofauti tofauti..

Kwa mfano tu wa kujiuliza ni kuwa, kama simu ina sehemu ya external memory (removable memory), na inauwezo wa spidi kubwa na internal memory ni kubwa sana, ni kwanini wamekuwekea sehemu ya external memory na sometimes ukidownload huwa unaulizwa "where do u want to save your file"? Why they ask u that?

System Application ya simu kwa mfano.. Utake usitake ni lazima inapofanya kazi huwa inakuwa na temporal file and applications zinajihifadhi somewhere katika simu yako hivyo baadae huwa inakuwa nzito mpaka u clean temporal files!

The same applied to computer..
Na ndio maana kwenye computer hata iwe na memory kubwa (RAM- random access memory) lazima kuwe na temporal files zinajihifadhi somewhere! Ukitaka ku hakikisha open "run" halafu andika %temp% bonyeza "ok" au enter katika keyboard yako..

Narudia ku sisitiza kuwa>

Simu inafanya kazi muda wote uwe umeishika mkononi ama umeiweka kwa masaa yote! Haiachi kufanya kazi..

Inapofanya kazi ndivyo jinsi inavyozidi kuhifadhi vitu vingine (log.files au temp. Files) sehemu flan.. Na ndio maana tunashauriwa sanyingine ukidownload kitu (mara nyingi personal documents) uweke ktk folder na pia..

Usichanyanye system software/ applications software na personal files..

Na pia si lazima simu ilete shida leo.. Inategemea na matumizi yako! Na maanisha, kwa jinsi matumizi yanavyokuwa makubwa ndivyo maintenance ya simu inahitajika..

Kwa mfano mimi na download hadi GB 15 kwa siku kwa kutumia simu yangu na sasaiv ninatumia blackberry nimeongeza speed kwa kuweza ku download GB 20 kwa siku kwa kutumia blackberry unlimited bundle.

Si hadithi ni kweli tupu na nimekuwa nikitoa ushauri kwa watumiaji wa simu na computer sehemu nyingi hata ktk website yangu nimefanya hivyo!

Sijasema ushauri uliotoa au mwingine atakao toa ni batili.. Hapana, ninachosema ni kuwa.. Kila mtumiaji wa simu anapaswa kutazama njia mbali mbali ili kuongeza uwezo wa simu yake..

This is just Ushauri tu, so u can agree or disagree.. Na wala sio siasa!!

Asante kwa walio nipigia simu na sms.. Tumeongea na kuthibitisha mengi..

Mungu awabariki wote

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
External memory ni kwa ajili ya kuhifadhi vitu sababu zipo slow(memory card) ila haifai kutumika kueka vitu vinavyotumika kila siku kama application sababu unaifanya simu iwe slow.

Na kumwambia mtu aeke memory card sababu ya temporary files ni kama unamwambia mtu afunge trailer nyuma ya gari ili atupe takataka sababu hizi temp file zisizotumika ni vyema zifutwe na si kuwekewa memory card zikae huko. Unless una sababu yenye mashiko inayoonesha kuwa sd card itamuongezea mtu perfomance.

Manufacture wanaeka sehemu ya sd card kuhifadhi media vitu kama movies, audio files, picha nk na si kwa ajili ya random read/write ya vitu kama apps au cache, data za apps nk.
 
Mkuu maedson hiyo website yako inaitwaje, sisi wengine hawa tunapenda kufukunyua fukunyua sana.!
 
Last edited by a moderator:
Nikidowlod application inaenda direct kwenye internal memory inakataa haiend external memory nashindwa kuelewa nikwanini
 
External memory ni kwa ajili ya kuhifadhi vitu sababu zipo slow(memory card) ila haifai kutumika kueka vitu vinavyotumika kila siku kama application sababu unaifanya simu iwe slow.

Na kumwambia mtu aeke memory card sababu ya temporary files ni kama unamwambia mtu afunge trailer nyuma ya gari ili atupe takataka sababu hizi temp file zisizotumika ni vyema zifutwe na si kuwekewa memory card zikae huko. Unless una sababu yenye mashiko inayoonesha kuwa sd card itamuongezea mtu perfomance.

Manufacture wanaeka sehemu ya sd card kuhifadhi media vitu kama movies, audio files, picha nk na si kwa ajili ya random read/write ya vitu kama apps au cache, data za apps nk.

Are u sure about that, sir?
Haven't u ever find out that, database ya applications ina temporal data files ktk external memory card?

Na simu nyingine huwa zina stack sana iwapo hujaclean memory(external memory) kwa muda mrefu?

Je, ni kweli kwamba kuwa na memory card kama external card ni kama kufunga tera nyuma ya gari? Na kutupa taka kwenye tera ni sawa na kuweka apps ktk external memory, is that true?

System software haziwezi kukaa ktk memory card, that every one knows, hata underground IT wanajua hivyo..

But apps software zinakaa bila wasiwasi kabisa! Also I wasn't talking(explained) bout mobi apps.. Nope, I was explaining about other mobile stuffs!
And again I said.. Zile temporal files ktk simu zinaingia always, so tell me.. How would u delete these files always, and how would determine the rate of file executions?

Mobi processors work under the higher rate per seconds RISC(simple), which use the system data to reserve the restore point.. How would u explain about that?

External sd card are vital important and useful, always
Na mungu akubariki

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ngoja nifupishe maneno

hayo mafile yanayotumika kwa muda tu tunatakiwa tuyafute au tuyatafutie sehemu tuyaweke? na kwanini?
 
Mmh! Ni kwamba mafile sio yanayotumika kwa muda.. Ni "dump bin files" ni mafail ambayo yanakuwa ni kumbu kumbu ktk gadget yoyote, so sanyingine unaweza kuyatumia, lakini yanakuwa ni minor sana ktk function ya simu au computer (example; mafail ambayo ni mobile/computer history)..

Got that?

Na pia mafail hayo huwa hatuyahifadhi.. Yanajihifadhi directly.. Unafahamu nini kuhusu "dll" files?

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
Nope, manufacturers hawawezi kuwa wajinga na wakani wametengeneza wao hizo simu!

Look, kuwa na speed ktk simu hata ikiwa na internal memory pekee bila kuwa na external memory inatakiwa uweke vitu (applications, personal data) katika mpangilio na mahali vinapostahili kuwepo (partition).

Downloaded videos for example, mp3 and applications lazima ziwe katika sehemu tofauti tofauti..

Kwa mfano tu wa kujiuliza ni kuwa, kama simu ina sehemu ya external memory (removable memory), na inauwezo wa spidi kubwa na internal memory ni kubwa sana, ni kwanini wamekuwekea sehemu ya external memory na sometimes ukidownload huwa unaulizwa "where do u want to save your file"? Why they ask u that?

System Application ya simu kwa mfano.. Utake usitake ni lazima inapofanya kazi huwa inakuwa na temporal file and applications zinajihifadhi somewhere katika simu yako hivyo baadae huwa inakuwa nzito mpaka u clean temporal files!

The same applied to computer..
Na ndio maana kwenye computer hata iwe na memory kubwa (RAM- random access memory) lazima kuwe na temporal files zinajihifadhi somewhere! Ukitaka ku hakikisha open "run" halafu andika %temp% bonyeza "ok" au enter katika keyboard yako..

Narudia ku sisitiza kuwa>

Simu inafanya kazi muda wote uwe umeishika mkononi ama umeiweka kwa masaa yote! Haiachi kufanya kazi..

Inapofanya kazi ndivyo jinsi inavyozidi kuhifadhi vitu vingine (log.files au temp. Files) sehemu flan.. Na ndio maana tunashauriwa sanyingine ukidownload kitu (mara nyingi personal documents) uweke ktk folder na pia..

Usichanyanye system software/ applications software na personal files..

Na pia si lazima simu ilete shida leo.. Inategemea na matumizi yako! Na maanisha, kwa jinsi matumizi yanavyokuwa makubwa ndivyo maintenance ya simu inahitajika..

Kwa mfano mimi na download hadi GB 15 kwa siku kwa kutumia simu yangu na sasaiv ninatumia blackberry nimeongeza speed kwa kuweza ku download GB 20 kwa siku kwa kutumia blackberry unlimited bundle.

Si hadithi ni kweli tupu na nimekuwa nikitoa ushauri kwa watumiaji wa simu na computer sehemu nyingi hata ktk website yangu nimefanya hivyo!

Sijasema ushauri uliotoa au mwingine atakao toa ni batili.. Hapana, ninachosema ni kuwa.. Kila mtumiaji wa simu anapaswa kutazama njia mbali mbali ili kuongeza uwezo wa simu yake..

This is just Ushauri tu, so u can agree or disagree.. Na wala sio siasa!!

Asante kwa walio nipigia simu na sms.. Tumeongea na kuthibitisha mengi..

Mungu awabariki wote

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
Soma hapa pia kwa maelezo zaidi, FANYA HAYA IKIWA SMARTPHONE YAKO YA ANDROID IPO SLOW
 
Sijaelewa ishu ya anti virus sababu kuna simu zinakuja na anti virus preinstalled (angalia hapa:[ Lookout Teams Up With AT&T, Bringing Anti Virus Software Preinstalled on Android Phones | Droid Life ].hili la external drive sijaona mantiki pia.. Nadhani Pia unazungumzia haswa simu za android manake unatumia neno playstore ambapo kwa simu za iphone Yao ni applestore.. Embu weka vizuri ulichotaka kusema
Soma heading kwa android tu!tufaa"apple"halimo leo!
 
Back
Top Bottom