Niliwahi kuishi Morogoro, mtaa wetu ulikuwa unapakana na ule wa maprofessor wa SUA yaan huwezi kuamini watoto tulikuwa tunabaguana sana kisa huyu baba Professor huyu baba mchuuzi wa mtaa.Hii ilinifundisha kuwa hata ukirsto na uislam visingekuwepo lazima tungejitafutia namna ya nyingine ya kubaguana.
Obama aliwahi kudai kubaguliwa nchini Kenya (na Waafrica)alipoingia hotelini akiwa pamoja na wazungu.
Muhimu ni kutobeba haya macreteria ya ubaguzi iwe dini au kabila/maskini/tajiri na kuyafanya central deal ya utendaji wako/maisha yako.
jaman ndege wafananao huruka pamoja.