Hahahaa wanajionaga hawawezi kushindwa kituJitoe akili tu,Kama tulisindikizana leba ndo nitamruhusu mwanangu below 7 to 14 aishi na babake (single) au aishi na mama wa kambo wakati mama mzazi nilieenyeka leba nipo hai.
Jitoe akili tu,Kama tulisindikizana leba ndo nitamruhusu mwanangu below 7 to 14 aishi na babake (single) au aishi na mama wa kambo wakati mama mzazi nilieenyeka leba nipo hai.
Jitoe akili tu,Kama tulisindikizana leba ndo nitamruhusu mwanangu below 7 to 14 aishi na babake (single) au aishi na mama wa kambo wakati mama mzazi nilieenyeka leba nipo hai.
Leo ooooooaaaeeeeeeJitoe akili tu,Kama tulisindikizana leba ndo nitamruhusu mwanangu below 7 to 14 aishi na babake (single) au aishi na mama wa kambo wakati mama mzazi nilieenyeka leba nipo hai.
Mtoto huwa Ni wa mama ndo Mana 70% humu watu wamelelewa na mama zao na si baba zao kwa wale ambao familia zikukuwa na shidaMtoto ni haki ya baba, nikiamua namtaka mwanangu huwezi nizuia.[emoji3525][emoji3525]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume wengine tumevurugwa tunamchukua hata akiwa 2years tena kibabe
Kuzaa tu inakupa nguvu kubwa Sana ya kujiamini,kujitoa hasa kwenye suala linalomhusu mtoto wakoHahahaa wanajionaga hawawezi kushindwa kitu
Mtoto huwa Ni wa mama ndo Mana 70% humu watu wamelelewa na mama zao na si baba zao kwa wale ambao familia zikukuwa na shida
Hivi nini huwa kinawasukuma kupandikiza sumu kwa watoto ?Wanaume tuna mambo mengi huwa tunapuuzia tu kwa sababu ulezi kwa mwanaume si jambo dogo, ndio maana tunaachia mama zao, mimi nikikaa na watoto tu siku nzima zile tabu zao nakuwa hoi.
Lakini nikiamua namchukua mwanangu nitamchukua tu. Tena nikijua umeanza kupandikiza sumu ndio kabisa.
Uchungu,na roho ya kutokusameheHivi nini huwa kinawasukuma kupandikiza sumu kwa watoto ?
Hivi nini huwa kinawasukuma kupandikiza sumu kwa watoto ?
Lakini naturally ukiwa huna roho ya kutosamehe unaumia zaidi ya yule husiyetaka kumsamehe.Uchungu,na roho ya kutokusamehe
Nadhani na ushamba pia na kutokukomaa kiakili kunachangia.Ubinafsi yaani naona hawezi kuonekana yeye mwema hadi amuaharibie mzazi mwenzie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati wanaongoza kuwapeleka kwa bibi zao.Jichetueni tu.
Kuwapa mama zao majukumu yasio yao halafu wanajitutumua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati wanaongoza kuwapeleka kwa bibi zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanyamaze tu maana ni mteremko tu kwao.Kuwapa mama zao majukumu yasio yao halafu wanajitutumua.
Ndio nashangaa sana hiyo sio right mtoto abaki na mamaye hata iwejeKwa mwanamke mzembe mdhaifu ,anakubali tu