Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Hamnaga kitu kama 'single father'.......wanaume nikama daladala ya kkoo haiwezi kukosa abiria wa kubebe wakati wowoteTafadhali naitisha kikao cha dharura tuje kujadili sisi ma single Father ambao jamii haitutambui uwepo wetu lkn tupo wengi tu tunajikaza kiume!
Wale wanaume tuliochukua watoto ama mtoto na kuishi nae as a single father iwe ulimchukua kwa amani,kumuiba ama kibabe ama kwa kususiwa tukutane hapa tujadili!
N.B,kamwe katika maisha yangu nikiwa hai na sipo gerezani mtoto wangu yeyote hata lelewa na mwanaume yeyote yule patachimbika
Kama Kuna single mom ajitokeze na mimi no single Father tuunganishe familia
Hamnaga kitu kama 'single father'.......wanaume nikama daladala ya kkoo haiwezi kukosa abiria wa kubebe wakati wowote
😂😂😂😂Jichetueni tu.
Kama Kuna single mom ajitokeze na mimi no single Father tuunganishe familia
Bahati nzuri mie na wewe tunalea wotePoleni sana si jambo dogo kulea mtoto peke yako.
Bahati nzuri mie na wewe tunalea wote
Pole yao aseee
Tajiri
Siulisema nikitaka hela nije kwako??Tajiri wa nn tena
Eti mwambie huyu manaa wanakili fekiJitoe akili tu,Kama tulisindikizana leba ndo nitamruhusu mwanangu below 7 to 14 aishi na babake (single) au aishi na mama wa kambo wakati mama mzazi nilieenyeka leba nipo hai.
Poleni sana si jambo dogo kulea mtoto peke yako tena ukute ndio wakike.
Siulisema nikitaka hela nije kwako??
Kwa mwanamke mzembe mdhaifu ,anakubali tuEti mwambie huyu manaa wanakili feki
troublemaker unaye mtoto?Kwa kweli pole yao hakuna raha kama kulea mtoto mkiwa wote wawili mnashirikiana.
troublemaker unaye mtoto?