Tafadhali Rose anahitaji mawazo yako!!..

Tatizo ni nani atakaekua anatoa hiyo huduma?Maana mume wake mtarajiwa anaweza kukataa!

kumbe hilo ndo tatizo...Mimi hapa nitakua natoa huduma pindi atakapokua ameshaolewa ni PM nikupe namba yangu umpelekee

mshauri aachane na hayo mambo kutokana na situation yake kuliko kumwambia kuokoka pekee ndio njia mwafaka kv kuna wengine ingawaje wanafanya mambo machafu bado wapo firm na imani HAKUNA dini inayoruhusu ulawiti hivyo anawezakumrejea huyo mungu wake anayemuamini sasa na bado akaacha bila kuokoka! By the way, hakuna dini au dhehebu hata moja duniani lililofanikiwa kuondokana na uchafu wa shetani, kinachotusaidia ni kwamba baadhi dini zetu hazijali hata zikiona tunafanya ushetani hadharani na wengine wanaziheshimu dini zao kufanya uchafu hadharani na hivyo kuamua kufanya gizani.

Hii ni kweli tupu mkuu!Chukua tano!

Ji baba la miaka 35 , linavumilia more than 8 months kwa ajili ya ndoa ?
Either mtoa mada umeleta usanii hapa au kuna kitu zaidi ambacho mwanaume anaficha ?

Similar Discussions

Back
Top Bottom