mkuu unajua hapa ni mahali pa heshima sana,usifikiri kwa sababu hujulikani unaleta kila upuuzi hapa,jaribu kufikiria kabda hujainamisha kichwa chako kutuma post hapa,sio fresh na sijapenda hii

Mheshimiwa,Sijakuelewa unaposema sijulikani unamaanisha wewe hunijui ama vipi?Na ni kipi hujapenda hapo?

nakushauri kwa sababu mimi ni mtu mzima,jaribu kufikiri kabla ya kutenda,usilete post za ajabu hapa,unaonekana kama unadharau jukwaa letu,kama huna mambo ya msingi bora kukaa kimya na kusoma mawazo ya wenzio na kujifunza,acha utani wa kijinga kijana

Kwa nini anashindwa kuacha tabia hiyo chafuuu. Kaa nae na umshauri kuacha tabia hiyo, hawezi kushindwa kuacha kama ana nia ya kufanya hivyo, kitendo cha kuendelea na tabia hiyo chafu kitamletea madhara makubwa hapo mbeleni yeye mwenyewe na atajutia.

1. Mungu hapendi tabia hiyo chafuuuuu kila dini wanakataza kufanya mchezo huo.

2.Mchumba wake akijua kuwa ana tabia hiyo chafu hatojali anampenda vipi?? atakua tayari kumwacha na hatojali wanamaendeleo kiasi gani na mipango gani.

2. Ni hatari sana kwa afya yake kwani kitakachotokea huko mbeleni anajua...........!

Nina imani kama anampenda kweli mchumba wake na hayuko tayari kumpoteza ataacha tabia hiyo, Kwani anategemewa kuwa mama wa familia bora na mwenye maadili mema, yeye ndiye atakayekuwa mlezi mkuu wa familia yake.

Before anything... jamani huyo kaka kulala tu na Rose (take note ana 35yrs) kaona asubiri ndoa.... sembuse maneno ya Back door!!! Eiyer my brother kama kweli huyo Rose ni wa karibu yako kweli amuonee huruma kaka wa watu na aachie ngazi... kweli it is not fair....

Yaaaani kweli inasikitisha saaana.... mtu ufanye hayo mambo na una confidence ya ku confess uko addicted?? Dah!

kama mchumba amesha sema hapendi hilo..

kwanini huyo Rose asimwambie tu ukweli sasa?

kuliko asubiri mpaka aolewe..

Ushauri wangu bora afunguke sasa kuliko baadaye..

umesema anawalipa watu wamfanyie hilo sababu kazoea..

Ndoa haita mzuia asiendelee kutiwa nyuma .. Bora awe mkweli kwake

na kwa mume mtarajiwa..

Yes!She is my friend!Lakini unavyodai aachie ngazi is not that simple,bora ingekua walipokua na wiki na hakukua na kitu chochote kilicho take place!Fikiria ndoa ni few days ahead!

Eiyer... yeye alifanya iwe complicated toka mwanzo... mtu ambae unatumia mlango wa upenuni kuingia ni lazima umpate wa upenuni... Hio ni selfishness ya yeye Rose kutotaka kutambua hilo toka mwanzo.... Yaaani Eiyer huyo mwanaume mlango wa mbele tu haweza thubutu bila kukaribishwa na kutoa taarifa.... sembuse umwambie kua zungukuka upenuni?? Alafu wee ni mkaka - I believe you understand better kuliko hata mimi....
mwambie rose amkabithi Bwana Yesu maisha na Tamaa za mwili zitakoma.Unajua kuna mapepo huwa yanasimamia hayo mambo ndio maana wakati mwingine kuchomoka na nguvu zako binafsi inakuwa ngumu.

mwambie rose amkabithi Bwana Yesu maisha na Tamaa za mwili zitakoma.Unajua kuna mapepo huwa yanasimamia hayo mambo ndio maana wakati mwingine kuchomoka na nguvu zako binafsi inakuwa ngumu.