Asprin nilibatizwa nae. Unaweza kulikana jina lako la ubatizo?Madam huko makini sana,hebu niambie bado uko tandale au wapi? maana mimi niko vigwaza na pia natamani kumpokonya asplin
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzenu mahondaw na smart wana anniversary leoMke umesahau kumwambia kipaimara...
Mimi na Sky Eclat anniversary yetu ni kila siku usiku.Wenzenu mahondaw na smart wana anniversary leo
Nyie kimya au ndio mambo ya covid
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother hujui kuna coona na umbujee yupo kwa mtogoleMimi na Sky Eclat anniversary yetu ni kila siku usiku.