GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,709
- 109,142
tafuta pesa uwe na pesa za kutoshaKichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibuni tu mtoe ushirikiano wenu kwa kinachotakiwa.
Akhsanteni sana na naomba kuwasilisha.
Tafuta sana hela tena ziwe nyingi na hata ukiamua kuzitumia.ukizitumia leo kesho zipatiakne mara mbili yake. Mfano ukitumia leo milion moja kesho upate milion mbili..hapo ndo uanze kutongoza.ukikataliwa na hapo kuwa wewe si binadamu
GENTAMYCINE Acha kabisa kutongoza hasa mijini mana kijijijin unaweza kuwa mkali wa hisabati.physics. au umetokea mjini umerudi kwenu kijijin umekula jeans ya savico au kamatia chni ukawa unawacharaza kinomanoma ........huna hela acha kabisa kutongoza.usijisumbue.Mkuu akhsante kwa ushauri wako mzuri tu ila naomba kukuuliza hivi kwa maisha ya leo ya Magufuliconomics upatikanaji wa hizo Milioni ulizozitaja hapo ni mrahisi kama ulivyosema?
Salimisha maisha yako kwa Bwana YESU. Mke mwema hutoka kwa Bwana. Muombe yeye naye atakupa mwanamke wa kufanana na weweKichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibuni tu mtoe ushirikiano wenu kwa kinachotakiwa.
Akhsanteni sana na naomba kuwasilisha.
Wewe ni ustadhi?nyoa kiduku,shusha suruali chini ya makalio,jifunze kuimba singeli,anza kutumia swaga za kijanja kama vile Niaje,mzuka,nasanasa, vepee, ukiweza piga na ndumu kidogo utawapata tu
1:4nyoa kiduku,shusha suruali chini ya makalio,jifunze kuimba singeli,anza kutumia swaga za kijanja kama vile Niaje,mzuka,nasanasa, vepee, ukiweza piga na ndumu kidogo utawapata tu
Asa kweli mwanaume ukafanane na mkeo???Salimisha maisha yako kwa Bwana YESU. Mke mwema hutoka kwa Bwana. Muombe yeye naye atakupa mwanamke wa kufanana na wewe