Tafadhali naombeni mbinu mpya za kutongoza kwani nilizonazo siyo rafiki kwa Wanawake wa sasa!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,536
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibuni tu mtoe ushirikiano wenu kwa kinachotakiwa.

Akhsanteni sana na naomba kuwasilisha.
 
Tafuta sana hela tena ziwe nyingi na hata ukiamua kuzitumia.ukizitumia leo kesho zipatiakne mara mbili yake. Mfano ukitumia leo milion moja kesho upate milion mbili..hapo ndo uanze kutongoza.ukikataliwa na hapo kuwa wewe si binadamu
 
Mkuu akhsante kwa ushauri wako mzuri tu ila naomba kukuuliza hivi kwa maisha ya leo ya Magufuliconomics upatikanaji wa hizo Milioni ulizozitaja hapo ni mrahisi kama ulivyosema?
 
Mkuu akhsante kwa ushauri wako mzuri tu ila naomba kukuuliza hivi kwa maisha ya leo ya Magufuliconomics upatikanaji wa hizo Milioni ulizozitaja hapo ni mrahisi kama ulivyosema?
GENTAMYCINE Acha kabisa kutongoza hasa mijini mana kijijijin unaweza kuwa mkali wa hisabati.physics. au umetokea mjini umerudi kwenu kijijin umekula jeans ya savico au kamatia chni ukawa unawacharaza kinomanoma ........huna hela acha kabisa kutongoza.usijisumbue.
 
NNJIA NYINGINE IGA KIPAJI CHA DUDE KWENYE KIPIND CHA BONGO DARSILAMU HAKIKISHA UNAYOYAONGEA YANAELEKEA NA UKWELI ASILIMIA 99.YAAN UWE SAMJO ZAIDI YA MR DUDE.UTAWAKAMATA WENGI HASA WASHAMBAWASHAMBA.HAPA UNAWEZA UKAWA UNATUMIA HELA NDOGO UKIMPATA LEO UNAANZA NA MWINGINE
 
nyoa kiduku,shusha suruali chini ya makalio,jifunze kuimba singeli,anza kutumia swaga za kijanja kama vile Niaje,mzuka,nasanasa, vepee, ukiweza piga na ndumu kidogo utawapata tu
Wewe ni ustadhi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom