Tafadhali naomba msaada wa hili wana JF

Community Health haina deal kabisa ingawa angeweza pata. Siamini kama anapenda afya kutoka moyoni. Atakuwa anapenda kisa anasikia kuna nafasi nzuri ya kupata ajira. Nashauri jua anaelekea kuweza nini then mpeleke chuo chenye tija. Ukishindwa kupata chuo chukua ADA mwanzishie BIASHARA. Najua inauma lakini ni maradufu kuliko kwenda kozi za kichawi kujitia umasikini.
Chuo gani ....kinatoa community health?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wakuu,

Kama kichwa cha habar hapo juu ninaomba msaada wa kimawazo juu ya course gani asomee yenye market kubwa na chuo gani kitakuwa bora kutokana na ufaulu wake.

Matokeo ni kama ifuatavyo:
Civics D
History D
English D
PhysicsD
Biology C
Math F
Geog F

Natumai nitapata msaada wa mawazo kwa hili
Mbarikiwe wote...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie kwa sasa hakuna kitu kiko marketable maana watu waliomaliza mtaani wako kibao yeye ni nani wakupata kitu marketable cha msingi akasome chochote kinachohusiana na biashara maana marketable ni akili ya mtu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wakuu,

Kama kichwa cha habar hapo juu ninaomba msaada wa kimawazo juu ya course gani asomee yenye market kubwa na chuo gani kitakuwa bora kutokana na ufaulu wake.

Matokeo ni kama ifuatavyo:
Civics D
History D
English D
PhysicsD
Biology C
Math F
Geog F

Natumai nitapata msaada wa mawazo kwa hili
Mbarikiwe wote...

Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize yeye anapenda kusomea nini, usimchagulie wewe.

Elimu haina mwisho.
 
Habari za muda huu wakuu,

Kama kichwa cha habar hapo juu ninaomba msaada wa kimawazo juu ya course gani asomee yenye market kubwa na chuo gani kitakuwa bora kutokana na ufaulu wake.

Matokeo ni kama ifuatavyo:
Civics D
History D
English D
PhysicsD
Biology C
Math F
Geog F

Natumai nitapata msaada wa mawazo kwa hili
Mbarikiwe wote...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu chakukushauri mpeleke chuo cha mipango dodoma ambacho kinatoa course ambaya inaweza ikamsaidi katika ajira lakini pia ata kujiajiri mweyew asome development planningz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wakuu,

Kama kichwa cha habar hapo juu ninaomba msaada wa kimawazo juu ya course gani asomee yenye market kubwa na chuo gani kitakuwa bora kutokana na ufaulu wake.

Matokeo ni kama ifuatavyo:
Civics D
History D
English D
PhysicsD
Biology C
Math F
Geog F

Natumai nitapata msaada wa mawazo kwa hili
Mbarikiwe wote...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utanielewa hapo kozi zitakozomsaidia ni mbili tu kama cyo tatu nursing na phamancy my bro kama unanafs mpleke akasome mojawapo utanikumbka binafs nimwajira lakin kozi hzo kwa ujumla ni makertable sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom