Tafadhali naomba kufahamishwa..

Tafadhali naomba kufahamishwa..

NG'ONG'ONHWI

Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
31
Reaction score
3
Ni kitambo kidogo kimepita tangu idara ya uhamiaji kutoa tangazo la nafasi ya kazi ya ukoplo wa uhamiaji kupitia gazeti la mwananchi.nilituma maombi lakini bado sijafahamu kuwa majibu watatuma katika anwani niliyotumia au watatangaza tena.kwani katika tovuti yao ya Welcome to the Official Website of Immigration Services Department of Tanzania hakuna taarifa zozote.msaada wenu wadau natanguliza shukurani.MUNGU awabariki.
 
Back
Top Bottom