Bryce mziba
Member
- Jul 20, 2018
- 22
- 8
Certified na sio "satisfied" mkuu.Copy but iwe satisfied as a true copy
Muhuri wa mahakama tena bro. Mana pale kwenye list wameweka "invalid" afu "BC not certified by Rita" vp kuhusu muhuri wa mahakama mkuuUmetumiwa wapi hiyo list ya jina lako , inabidi kuprint copy yenye muhuli wa rita , pia ipigwe muhuri wa mahakama.
Muhuri wa Rita auBaada ya kuwa satisfied na rita copy inabidi kupigwa muhuri
Asikuvuluge mahakamani sio lazima we chukua chet chako toa photocopy then ile copy nenda nayo rita watahakiki(watapiga muhur) alf kaambatanishe onlineHii ya mahakamani sijaielewa wao wanasema Rita sasa iweje tena mahakama ???????