namba ya DG haitolewi ovyo kwa msaada ingia hapa
https://www.nssf.or.tz/index.php?option=com_wrapper&view=wrapper&Itemid=183
kwa yoyote mwenye namba yake ani pm tafadhali
umeshaipata?????
Hawa jamaa Feki sana, mbona majina menejimenti kwenye website Yao yote yako nusunusu? Eti Y. Nguvukazi, K. Maliwa! Kwanini hawaweki majina kamili?!!!?
Hawa jamaa Feki sana, mbona majina menejimenti kwenye website Yao yote yako nusunusu? Eti Y. Nguvukazi, K. Maliwa! Kwanini hawaweki majina kamili?!!!?
We unayo?
Ndio.....
nimekupm ndugu yangu
done...
Hicho unachotaka wewe ni muongozo au ni sheria? Mbona watu tunakuwa na chokochoko zisizo na tija? Ukishajua majina kamili halafu?