Tafadhali msaidie mtoto Gwakisa aweze kupata matibabu

Sugar30

Member
Apr 20, 2020
5
0
Habari Wakuu,

Kuna suala ambalo linahitaji mchango wetu kama Watanzania, kama Binadamu na kama Wazazi.

Kuna mtoto wa Kitanzania anaitwa Gwakisa Aliko Mwaibambe mwenye umri wa miaka 5 aliye na tatizo la kuziba mdomo kutokana na ugonjwa wa NOMA (Cancrum Oris) anahitaji kupelekwa India kwa ajili ya matibabu.

Wizara ya Afya itagharamia matibabu ya mtoto Gwakisa ambayo ni sawa na sh. milioni 50. Familia ya Gwakisa imetakiwa kugharamikia nauli ya kufika Hospitalini.

Baba wa mtoto Gwakisa anaomba msaada wako wa kiasi cha shilingi Milioni 5 kwa ajili ya nauli kuelekea nchini India kwa matibabu hayo.

Tafadhali changia kiasi chochote uwezacho kwa namba:

0757 011103/ 0674 536002 (Aliko Mwaibambe)

CRDB: 0152381710300
JINA: ALIKO MWAIBAMBE ASUMWISYE


 
tunaomba link ya taarifa rasmi ili hizo namba za simu na majina tuzipatie huko
 
Back
Top Bottom