Tafadhali msaada wa haraka

Sasa ww umekosea kwasababu hujasema tangia mwanzoni kuwa upo kwenye uhusiano na mzazi mwenzio na mnaishi pamoja!Sasa ulitaka tukushauri nini umuache huyo ulonae uende kwa unaemtamani?Naomba nikuulize kipi kilichokufanya ukazaa na huyo uliyenae ambacho unakiona kinakosekana sasa? Utakuja kuruka mkojo ukanyage mavi shaurizo!

uko sahihi sana2 lakini nadhani habari ya kupenda ww cyo mgeni nayo.kweli kabisa naish na mtu na tumeza mpaka kujenga ila nifanye nn hapo moyo una pwita ndugu zangu tusaidine wenye uzoef na hli jambo sitaki kuongeza wa2 sitaki kumwacha huyu na siwezi naomba mnambie tu me mwenyewe ntachambua
 
Back
Top Bottom