Ladies and gentlemen
Hope mko fine Jmosi hii tulivu
Naandika toka mji tulivu na safi kabisa wa Manispaa ya Moshi.
Mimi si mwenyeji wa mkoa huu ila katika harakati za maisha, najikuta naanzisha maisha katika mji huu.
Sijui nisemeje ila nadhani ni issue ya personality, I'm introvert in nature. Mkimya flani hivi but very critical. Usoni nimetawaliwa na tabasamu ila niko weak sana kuanzisha story hasa na mtu who is stranger to me.
Hali hii inanipa wakati mgumu kidogo hasa napotaka kupanua dunia yangu ya marafiki hasa potential people ambao focus zao ni kutengeneza ya maisha endelevu.
Watu walio kwenye my friendship cycle ni age mates amabao mitikasi yao mingi ni matumizi, nyie huita kula bata wakati kiuhalisia nazani umri wetu tunapaswa kuwa na harakati za kukusanya resources ili kesho tuwe kwenye viti virefu tunaosha macho kwa kufurahia dunia hii tamu ya manani.
Hivyo najitokeza kwenye platform hii natafuta marafiki wa kubadirishana mawazo na fursa na pia kuelekezana njia bora zaidi za Kufurahia maisha japo naelewa dunia imejaa majonzi kuriko furaha. Lakini pia naamini mtu aliyefanikiwa ni yule aliyezungukwa na marafiki Waziri na washikaji wa nguvu.
Kwa mkutaza huu nahitaji friends Who are :
30yrs + of any sex
Open minded
Charming
+Spirit of friendship
With variety of life Experiences toka pande zote za Tz hata nje ya nchi.
Naombeni mnipokee rafiki zangu
Wasalaam