Ndiyo! Mimi binafsi mwaka jana nilifanya manunuzi mtandaoni na nikalipia gharama zote, jumla Tsh. 40,000.Hivo bado kuna watu wanatuma pesa kwanza kabla ya kupata mzigo? Hizo ni zama za mawe za kati.
Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers.
Lakini hawa ni matapeli ambao hawana duka physically na wala hawana bidhaa yoyote, wanawaibia watu kwa kuwaahidi wafanye malipo na kisha watawatumia bidhaa zao, wamekua wanabadilibadili jina la kampuni, walijifanya wapo Darajani, Zanzibar ila kesi zilivokuwa nyingi sasa wamebadili wanadai duka lao lipo Chakechake Pemba, angalizo hakuna duka la electronics hapo kwenye sehemu.
Tafadhali tusaidiane kuwaokoa ndugu zetu wasitapeliwe zaidi. Sambaza kwa wengine wengi. Ahsanteni sana.
Aliingia kwenye mkoba wa nundaHao wa kuuza TV ya 2.5M kwa shilingi laki 6 πππ halafu wanamtumiaga demu! Nilimtwanga maswali ikabidi akate simu tu maana majibu alikosa πππ
Alikoma kuringa akapanic kabisa πππ na kujikatia simu tu maana hela anaitaka ila maswali konki!Aliingia kwenye mkoba wa nunda
Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers.
Lakini hawa ni matapeli ambao hawana duka physically na wala hawana bidhaa yoyote, wanawaibia watu kwa kuwaahidi wafanye malipo na kisha watawatumia bidhaa zao, wamekua wanabadilibadili jina la kampuni, walijifanya wapo Darajani, Zanzibar ila kesi zilivokuwa nyingi sasa wamebadili wanadai duka lao lipo Chakechake Pemba, angalizo hakuna duka la electronics hapo kwenye sehemu.
Tafadhali tusaidiane kuwaokoa ndugu zetu wasitapeliwe zaidi. Sambaza kwa wengine wengi. Ahsanteni sana.
Hao wa kuuza TV ya 2.5M kwa shilingi laki 6 πππ halafu wanamtumiaga demu! Nilimtwanga maswali ikabidi akate simu tu maana majibu alikosa πππ
Matapeli hao sema wanatumia mbinu janja sana ukiwa boya unalizwaKweli jamaa wanauza TV bei rahisi sana ,hata humu JF wana account.
Sasa si wamewaibia wengikuna wengine wanajiiita rashidi_electronics bei zao zinatia mashaka sana, alafu hawaruhusu comments