Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,179
- 34,529
Hua nina tabia hiyo pia yote ni kutaka kuona mapenzi yenu yanaendeleaAlafu muda mwingine unaona kama ndio jinsi alivyo unajifunza kuchukuliana nae...na kusema huyu ndio alivyo na unaendelea kukaa kwenye maumivu. Sijui muda huo akili zinakuaga wapi??