Tafadhali epuka utegemezi wa kihisia

Tafadhali epuka utegemezi wa kihisia

Kuna watu masikini hawajua kama wanastahili yaliyo mema,.wanavumilia na kulea maumivu wakidhani mbele ya safari mambo yatabadilika...kitu chochote ili kiwe imara au kikue vzr ni "msingi" na sio msingi tuu,msingi imara...ukiona hamuelewani from the beginning au upendo wako unategemea upande mmoja lazima ujiulize mara mbilimbili,

Then,ukipewa mazuri hebu naww jaribu kutoa mazuri pia,.life is sooo beautiful mkielewana na kupendana kweli.
Ahsante
 
Alafu muda mwingine unaona kama ndio jinsi alivyo unajifunza kuchukuliana nae...na kusema huyu ndio alivyo na unaendelea kukaa kwenye maumivu. Sijui muda huo akili zinakuaga wapi??
Love is blind [emoji2][emoji2][emoji2]

Am saved from that blindness tho...
 
First approaching ya mwanaume huwa ni nzuri sana!ni unlikely kumbaini his true color.muda utaenda mwanamke akijua ni perfect match yake hii.lakini muda hudanganyi tartiibu mtu anaanza kubadilika kwa haraka bidada atajua kwamba huyu mtu hii sio tabia yake bali ameiadopt sehemu.hapo tayari ulishamuamini na kumpa moyo yaani inakuwa there is no turning back!unaishia kuvumilia ukijua atabadilika sababu hiyo haikuwa tabia yake.lakini hiyo ndio tabia yake asili na haitaweza kumtoka.hii tabia ya watu kudhani kwamba huyu nimetoka nae mbali siwezi kuanzisha uhusiano mwingine from the ground ndo hupelekea utumwa wa akili na mwili
 
[emoji817]
 
Back
Top Bottom