Tafadhali changia damu tarehe 13 Feb, kuna uhaba mkubwa Mkoa wa Dar

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Tafadhali changia damu tarehe 13 Feb kuna uhaba mkubwa Mkoa wa DSM.

Kampeni maalum ya Okoa Maisha siku ya wapendanao unaweza kwenda Hospitali za Amana, Sinza na Temeke.

20160211033409.jpg
 
Back
Top Bottom