Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
laki 4 dozi ya mweziKwan dawa ya kupunguza makali ya ukimwi inauzwaje ikiwa watasitisha msaada
Duh kumbe bei mkasi 400k? mtu anaweza kumalizia mshahara wake kwenye dozi tu akakosa hela ya kodi na msosi... Waendelee tu kutoa msaada aselaki 4 dozi ya mwezi
hii ni nchi huru ndugu yangu mabeberu yasitupelekeshe tutanunua wenyewe kusaidia wanyongeDuh kumbe bei mkasi 400k? mtu anaweza kumalizia mshahara wake kwenye dozi tu akakosa hela ya kodi na msosi... Waendelee tu kutoa msaada ase
Mabeberu haya tunachukua misaada yao,kwani dozi ya laki 4 kwa mwezi kila mgonjwa inatushinda kweli jamani kama nchi huru?
Eeh! kama alivyokaza kwenye korona na watu wana survive..unaweza shangaa hapa pia jiwe anakaza halafu hafi mtu[emoji23][emoji23][emoji23].
jiwe bana ana kismati sana.