Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,292
- 14,960
Mambo ya UKIMWI yameshapitwa na wakati, sasa hivi EBOLA ndio mpango Mzima! Hivyo mambo ya UKIMWI muda wake umeshakwisha na watu wa TACAIDS ambao wakati wapeak ya UKIMWI walikuwa wanakula mkwanja wa nguvu sasa hivi mambo yao sio mazuri sana, sasa sijui watahamia kwenye EBOLA, halafu mtabadilisha jina kuwa TACEBOLA ama?