Tabora: watoto watatu wa familia moja wamefariki Baada ya kula Uyoga

Hii nchi wanahimizana kujipimia huku raia wakifa kwa kukosa chakula na kuishia kula vitu vya sumu............hali ya vipato na hali ya maisha kiujumla kwa wananchi walio wengi ni ya kukatisha tamaa, lakini wame relax wanaitisha vikao vya kugawiana posho tu na kuhamasishana namna bora ya kujipimia pasipo kuvimbewa badala ya kuja na mikakati ya kuikwamua nchi kiuchumi na kuboresha hali ya maisha ya wananchi....​
 
Hii nchi ngumu sana
 
Back
Top Bottom