Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Tabora wametoa maoni mseto juu ya msimamo wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema wa kudai watazuia uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu endapo hakutakuwa na mabadiliko ya kisheria, kikatiba, mageuzi ya kikanuni pamoja na mifumo itakayowezesha uchaguzi huo kuwa huru na haki.
Pia, Soma