Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,543
- 14,477
Uliaga mkuu vipi umekuaje, posho umeongezewa nini
wewe naye mwehu kama hao waliokuwa wamekamatwa. kama unapenda fujo na utovu Wwa nidhamu si uende huko Libya na Yemen. yani wamefanya upuuzi halafu unawaita wapambanaji. ama kweli CHADEMA IMEJAA MAJINGA MATUPU.
ina ujumbe gani mkuu
Hahahahahhaahahaaaaa ma_DC wa Bongo na matumizi ya computer hahahahahahahhahahaaaa are u kidding????? Siamini kama huyo mama anajua ipda2 ni kifaa gani hahahahahahahahhahaaaa posho zinakupeleka pabayaHuyu mama DC ni muungwana sana, naona vitu vingine walivyomuibia kaamua kumuachia mungu hawalani.
Wameiba Laptop yake aina ya Dell Pentium M. pamoja na Apple-iPad 2. Najua tu kuna mbunge mmoja wa Magwanda lazima atakuwa anaitumia hii iPad 2 bungeni
Mkuu mbona kimya sana,au magamba yamekubana
Hakuna aliyevuliwa Hijabu pale ila malaya mmoja wa kisiasa (A political prostitute) aliyezuiliwa asiendeleze uhalifu aliokuwa akiufanya. Kuuita mtandio Hijabu ni kudhalilisha vazi tukufu la kiislamu. Sheria ya nchi hii inaruhusu raia wema kumzuia mhalifu kuendelea kufanya uhalifu. Wanachadema wana haki ya kmzuia mhalifu yule aliyekuwa katika harakati za kutekeleza jinai. Matamshi yaliyotolewa baadae na Nape na January kwamba eti kuanzia sasa watawatumia vijana wao "kuwalinda viongozi" yanathibitisha dhana ya Ma DC na Ma RC kutumiwa kama vibaraka wa CCM katika harakati za kubaka demokrasia ikiwa ni pamoja na kuiba kura, jambo ambalo si sahihi kisheria. Nina uhakika pamoja na wao CCM kutamba kwamba serikali nzima "Iko mikononi mwao" wapambanaji hawa watashinda kesi ya kijinga hii. haya ndiyo matokeo ya Rais kupewa mamlaka ya kuwahonga mashoga na washkaji vyeo ambayo ni lazima watanzania tukomae mpaka madaraka haya ya kifisadi yapokonywe.
Topical umejibu kwa jazba. Naona jamaa kakuchoma kwa kidole jichoni. Pole mkuuManeno yako yanafanana sana na wahuni wale walioko chini ya ulinzi kwasasa..
Matamko ya wanasiasa hayawezi kumuondolea kosa la jina mwanachademu mhuni kumvua mwenzake nguo...
Tundu hatawasaidia...wana kesi ya kujibu...
wafundisheni raia kutii sheria zilizopo hadi zitakapobadilishwa otherwise tutakuwa taifa la wendawazimu
LEO KUNA mtu kaiba password yako bwana masaburi
twahil al mujahidinaMnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.
P/se try to observe grammar.This is good for those who wishes for the better of Tanzania and its people. All the best to fans and fighters for equality before the law!!!!
<br /><img src="http://t2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRO8avQeo-m0lfBOJ7oew2hsPSB7YyR7LcY3PwIZn0omioK-KuP" border="0" alt="" />
Hongera. Kazeni buti kulinyakua igunga. Lkn muheshimu hijab tu na sio mnavua vua watu
Chama cha Maandamano yasikuwa na tija yoyote kwa taifa. Vipi posho za maandamano.
Kila kichwa buku tano, Dr Slaa, Mbowe Laki saba, kila mmoja hawa kina Regia Mtema, wengine 100,000 Pipozz powerr!!