hongera tundu lisu,umelala macho kuhakikisha wanaachiwa, wanapata dhamana, au kupelekwa mahakamani.pole sana kwa jinsi kwa kazi nzito ya kupambana na uonevu wa ccm na serikali yake. Mungu akulinde
<b><span style="font-family: comic sans ms"><font size="4"><font color="#800080">tuthibitishie tafadhali usije kuwa unataka kupima upepo, maana magamba nao wana mbinu za kutaka kujua maoni ya watu hapa JF</font></font></span></b>
naona kama sasa hivi umeanza kutumia akili yako.kweli siyo kweli?
Jamani,
Mimi sijamuelewa vizuri aliyeleta taarifa hii. Taarifa ni nzuri kwamba wameachiwa. Sasa maswali yafuatayo hayana majibu:
1. Wameachiwa na polisi kwamba hakuna ushahidi wa kuwafikisha mahakamani.
2. Wameachiwa na polisi kwa maelezo kwamba warudi kuripoti kesho/wiki ijayo au?
3. Wamefikishwa mahakamani, wakasomewa shitaka (lipi) halafu wameachiwa kwa dhamana. Kama jibu la hapa ni ndiyo, wameachiwa kwa masharti gani.
Tafadhali yeyote mwenye majibu ya maswali haya atusaidie.

Wana JF,
Taarifa niliyoipata hivi punde ni kwamba wapambanaji wa Chadema, Meneja wa Kampeni Sylivester Kasulumbayi (MB) na Suzan Kiwanga (MB)waliokuwa wamekamatwa kwa hila na polisi wa magamba wameachiwa huko Tabora na sasa muelekeo ni kwenye uwanja wa mapambani Igunga, Hakuna kulala mpaka kieleweke
Masharti ya dhamana nikwamba kila mtuhumiwa awe na wadhamini wawili na kila mdhamini aweze kutoa tshs milioni tano hewa (yaani ahadi ya tshs millioni tano kama mtuhumiwa akitoweka)
kesi imeahilishwa mpaka tarehe 10/10/2011 hii nikufuatia lisu kuieleza mahakama kwamba watuhumiwa wanajukumu la kitaifa katika kampeni za uchaguzi mdogo.
Awali upande wa serikali ulidai ushahidi umekamilika ndipo tundu akaiomba mahakama iwaruhusu waanze kesi lakini wanasheria wa serikali wakajikanyaga tena kwa kusema bado hawajajipanga Tundu alitaka mahakama kutupilia mbali kesi hiyo kwani niyakisiasa na imelenga kuipotezea muda mahakama.

Wa-JF!
Kwa wale wenye mashaka ya kuachiwa kwa mashujaa wetu wa CDM ni kwamba eleweni kuwa kwa serikali hii legelege ya MAGAMBA wakikupa dhamana tu basi umeachiwa huru. Kumbukeni matukio ya Arusha............!!!!!!!!
Hata hivyo shujaa wa kweli anayetetea raia, serikali dharimu lazima imkamate. Kumbuka MANDELA na hata NYERERE walikamatwa na serikali dharimu na hatimae UHURU wa kweli ukapatikana ndo maana hadi leo wanakumbukwa!!!!!!!!!!!!!!
Leo hii Nyerere na Mandela ni ruru ya mataifa yao hadi kupelekea wananchi wa South Africa kujiandaa kupokea kifo cha Mandela (sijasema kafa ila umri alionao imetosha kuishi ili wapambanaji wa CDM wachukue nafasi)
​Ni hayo wandugu!!!!!!!!!!!!!!